Skip links

Misioni

Mungu hamwiti aliye tayari, bali anatayarisha aliye itwa.

Misioni za Kigeni

Hitoria ya Safari za Nje

"Basi, nendeni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu, na kuwafundisha kuyatii yote niliyowaamuru." Mathayo 28:19-20

"Tangazeni utukufu wake kati ya mataifa, miujiza yake kati ya watu wote." Zaburi 96:3

Una swali?

Iwapo una swali lolote kuhusu misioni zetu zijazo, Unaweza kutupigia simu: +255 764 711 544 au kupitia fomu yetu ya mtandaoni.

This website uses cookies to improve your web experience.